Special thread kwa ajili ya kuomba nyimbo

Uta Uta

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2016
Posts
3,740
Reaction score
8,792
Hi ni kwa ajili ya kuomba nyimbo ambazo hazipatikani katika mitandao kwa sasa. Omba wimbo ambao unautamani sani ila huwezi kuupata, uweke hapa wadau watatusaidia kuupata. Na yeyote ambaye ana wimbo uliombwa au link naomba atusaidie ili tuburudike. Kwa kuanzia mi namba nyimbo zifuatazo;
(i). Come on by SWV
(ii). painning me by Emmanuel Nkulila
(iii). Beatrice by Mass Media
(iv). Chuchu sound
(v). Dortnata by Fm Academia
(vi) kuna hizi nyimbo mbili nimezihau majina kidogo, moja iliimbwa na Wycleaf John ft Khadija na nyingine imeambwa na Jack Maria ni mtanzania
 
Sasa kama hazipatikan kwenye mitandao wao watazitoa wapi? Au wanakutumia tepu zake?
 
Chuchu Sound - Tenda Mtende Nyie
Wimbo ulio katika usikivu (sound) wa 24 bit studio quality 192,000Hz
Source: New World
C.c Uta Uta Kajolijo
 
BWANA MISOSI - SAFARI NDEFU
Wimbo ulio katika usikivu (sound) wa 24 bit studio quality 192,000Hz
Source: New World
 
MALAIKA MUSIC BAND - Mtu wa watu

Wimbo ulio katika usikivu (sound) wa 24 bit studio quality 192,000Hz
Source: New World
 


wazo zuri
 
Bushoke ft Ramso - Wanashindwa Lala

wimbo usikivu Studio quality
Source: New World
 
Inafrica Band - Julie
Wimbo ulio katika usikivu (sound) wa 24 bit studio quality 192,000Hz
Source: New World
 
Habari wadau Naombeni mwenye nyimbo ya fm academia I aitwa polepole na wazee was mujini live
 
NAOMBA NYIMBO ZA EMMANUEL NKULILA hasa ile ya Turning world na Change your emotions
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…