Vasco wa degamer
Senior Member
- Feb 21, 2016
- 194
- 144
Hawa jamaa ni funga kazi kwa kuchekesha na kuelimisha.
Leo wamenichekesha sana, Mkwere original ameigiza anapigwa na mke wake ambaye ni mtoto wa mzee matata, Huku mkwere akiwa ni mtoto wa yule dingi mwingine na akiwa rafiki wa mcongoman.
Japo mkwere kapeleka mashtaka kwa baba yake na baba mkwe wake, wamekuta anapigwa bado ameogopa kumili mbele ya mke wake sarafina kama huwa anachezea kichapo