Argentina KAKA MKUU ni Di Maria alafu uyu Messi ni kiranja wa nidhamu teheeee teheee ni ukweli mchungu ila hakuna namna alivyotoka El Fideo nikaona ndoo kwa mbali,baada ya leo Argentina wasahau kuchukua ndoo hiki kilikua kizazi chao cha dhahabu.