Special Thread, COPA America 2015

KAMA KAWA KAMA DAWAAA CHAMA LANGU la UKWELI LIKIONGOZWA NA KING WA DUNIA LAZMA LIBEBE NDOO SASA DUNGA AJIANDAE ALAF TUMMALIZE CHILE KWA MASHABIKI WAKE
 
Kuna wakati fulani alikuwa na kashfa za kutumia madawa ya kuongeza nguvu...

Kama sikosei akavuliwa taji kama si mataji ya Toure de France...

Yes yes, alivuliwa mataji kibao. Baada ya pale alijaribu kurudi nadhani, ila haikuwa kama mwanzo tena.
 
Argentina Na Messi wao ni shit!!

Hawajascore hata goli 1+ kwenye hii tournament
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…