Special Thread, COPA America 2015

Tunaenda kwenye penati na hapa ndipo mwenye bahati anapita...

Kwa leo mwenye bahati ni Colombia maana haiingii akilini kuwa Argentina kakosa magoli yote yale...

Nawaonea huruma Argentina...

Mara nyingi inakuwa hivyo, Ospina na Colombia wana psychological advantage, Messi & Co frustrated. Ngoja tuone, sala zangu kwa everlenk
 
Last edited by a moderator:
Romero anaanza golini...

James Rodriguez....anapataaa
 
Tatizo la argentina mastraika wake wengi Wana mpira wa anao anao mwangalie Messi, Dr Maria, Pastore, Lavezi, Aguero
 
Garay....

Anapataaaa....bonge la penati aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…