Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
I used to be a fanboy akiwa La Casa Blanca, alivyoondoka ndio nilijifunza kutokuwa emotionally tied with players.
hata hivyo siyo mzee kihivyo. miaka 31 sawa na Robben. kamuacha CCR7 mwaka mmoja.Robinho hazeeki bana, au ni macho yangu?
Tena aliondoka bila drama kama za Ramos, alisema nataka life expreriance kwenye ligi nyingine. Msimu alioondoka ndio alikuja Cristiano, ndio hapo ujue soka bana sijui likoje. Kulikuwa na watu walichukia, mmeshindwa kumbakiza Robinho Cristiano wa nini.
hata hivyo siyo mzee kihivyo. miaka 31 sawa na Robben. kamuacha CCR7 mwaka mmoja.
Safiii Firmino good assist ya mtoto wa jirani Willian
hehehe, so CR7 mwakani ni babu!? inabidi aanze kujisogeza Milan kwa kina Robinho.Hahaha Robben anaonekana kama ana 50 hivi. 31 babu katika soka, sema anajitunza, sijawahi kusikia akifanya mambo ya ajabu kama wengine.
Sala zako naona zinaelekea kutimizwa, uko kwenye mfungo nini?
hehehe, so CR7 mwakani ni babu!? inabidi aanze kujisogeza Milan kwa kina Robinho.
Neymar anatabasamu tu, hivi Brazil wameshindwa kuappeal hukumu ya Neymar?
Jana nilienda kanisani nina maupako acha tu....