For Colombia to stay in Copa America, the game between Brazil and Venezuela needs to end in a winner. If Brazil vs Venezuela ends in a draw, Colombia are out.
Hahaha Ye yupo humu kuangalia interests za Madrid tu, kama James ataendelea ama lah!Karibu sana Salamander tunapenda kutambua uwepo wako leo humu,uko timu gani ?
Nimeipenda hiyo embu tutendeeni haki wewe na BAK kuisindikiza na snap kidogo.....
Hahaha Ye yupo humu kuangalia interests za Madrid tu, kama James ataendelea ama lah!
Hahahaha!!! Nimeshangaa uwepo wake humu leo nikasema labda amekuja na nyota ya Brazil,Haya naona umemsaidia mate kujibu......kwani mwanenu huku ni James tu? Au anampenda yeye zaidi ya wengine?
Karibu sana Salamander tunapenda kutambua uwepo wako leo humu,uko timu gani ?
Their hopes are valid.
Robinho hazeeki bana, au ni macho yangu?
Robinho hata hivyo anacheza kifather. Ni kawaida ya Brazil kuweka mkongwe mmoja.