Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 24,684
- 44,019
Watapunguzwa badae, ila uzoefu wa Kaka ndio unamuweka hapo. So unless anaumia, sioni akikosa.
Sijui umekula maharage ya wapi wewe mbona unanuka mdomo hivo?....ACHA KUKERA
Hii ndo reply yangu ya mwisho kwako, siwezi kuweka ligi na wewe Mkuu!!!
au ni mimi sijui kusoma! Alves hayupo??
Mi naona anaweza kuchukua namba ya yeyote pale katikati au mbele lkn hakuna anayeweza kuchukua nafasi ya dinho na akaiziba sawasawa......Ana kipaji na uwezo wa tofauti sn
saa 8:30 usiku.Haya mashindano yanaaza leo rasmi huko chile kwa nchi za bara la america ya kusini kumtafuta bingwa wa bara hilo lenye historia ya soka duniani.
Ila sijajua kwa hapa bongo muda ambao tutakuwa kwenye runinga kutazama haya mashindano.
Hizi forward ni sheedah.
Messi
Kun Aguerro
Calitos a k a Tevenga
Gonzalo Higuein
Ma-middle
Lemela
Dyabala
.......
........
Nawaona Argentina wakinyanyua kwapa.
Haya niambie umejisajiri timu gani? Nakuona kama timu Messi?
Hata mimi naungana na wewe, Argentina anabeba hili kombe.Hizi forward ni sheedah.
Messi
Kun Aguerro
Calitos a k a Tevenga
Gonzalo Higuein
Ma-middle
Lemela
Dyabala
.......
........
Nawaona Argentina wakinyanyua kwapa.
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=teamArgentina]#teamArgentina [/URL] ....dah tatizo haya mashindano yanafanyika muda mbovu.....wewe team gani?