NYEKUNDU YA BIBI
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 2,307
- 3,017
Mkuu Mimi Niko kama wewe napengine unaujua mziki wa somo ambalo wengi hudhani watachukua point tatu kama biology lakini ni rahisi kupata D ya chemistry sio biology ambayo ni almasi unacheka peke yako ukiipata D ya somo lolote kwenye combi yakoKweli kabisa, hayo ndio yaliyonikuta mimi mwenzenu.
Umewashauri vyema mkuu, japokuwa wengi hawatakubaliana na wewe kutokana na mkumbo wa rafiki na familia zao na sio uhalisia wa mahitaji ya sasa.Nashauri mkasome diploma za mionzi (diagnostic) na maabara
Hizi ni rahisi kupata michongo mjini hapa kuliko maCO ambao kwanza wapo wengi na kaka zao MD wapo wengi pia na wanafanya kasi hadi kwa laki sita saba
Ukiwa radiographer unaweza kuwa na vijiwe hata vitatu kote unakula pesa
Tusifuate mkumbo tu was kuitwa daktari,tuangalie wapi soko linatupeleka
Njoo pm mr.Mi mpaka kupata wazo la kubadil koz kaz hakuna ndug toka nmemaliza 2016 mpka leooo Chws ni coz ya hovyo najuta hata kwanin nilipoteza muda wangu
Pharmacy, nursing, environmental healthMkuu endapo MTU kafeli mathematics lakin masomo mengine kafaulu anaweza kujiunga na course ya clinical medicine hata kwa level ya certificate na kama hapana ni course gani nyengine ya afya anaweza jiunga ??
Pharmacy, nursing, environmental health
Ndio unaweza maana kuwa na ufaulu wa mathematics ni sifa ya ziada tu ila sio core subject kwenye course za afya, ila pia ili upate nafasi itategemea na competition iliyopo endapo kama kutakuwa na wanafunzi wenye sifa kama zako ila wao wana pass ya mathe itabidi wao wapate wewe ukose maana wana sifa ya ziadaKwamba unaweza kusoma Pharmacy hata kama umefeli Mathematics?
mkuu naomba unicheki 0714957973Vp kazi zipo kwasababu me nipo kilosa cotc namaliza mwaka huu