Special program UDOM

Special program UDOM

Joined
Apr 25, 2015
Posts
52
Reaction score
2
Je?

Wanaotakiwa ku confirm ordinary diploma udom ni wale waliochaguliwa direct kutoka tamisemi pekee au huambatana na walio fanya application NECTA?

Nilifanya application online na baada ya Muda nikakuta umebaki choice moja ambayo ni University of dodoma ordinary diploma in secondary education biology and chemistry na upande wa status imeandikwa selected but nkiangalia kwa Wanaotakiwa ku confirm sioni Jina langu jamani ndugu zangu naombeni msaada.
 
Kwan kunauwezekano wa ku confirm kupitia profile yangu ya nacte maana kwenye orodha ya majina naona ni wale waliochaguliwa direct kutoka tamisemi
 
Kwan kunauwezekano wa ku confirm kupitia profile yangu ya nacte maana kwenye orodha ya majina naona ni wale waliochaguliwa direct kutoka tamisemi

Kwanza kabisa ifahamike kuwa NACTE na UDOM ni taasis mbili tofauti lakin NACTE ndo anachagua majina na kuyapeleka UDOM kuidhinishwa.
Kwa mantiki hiyo kama NACTE bado hajapeleka hayo majina UDOM basi jina lako halitasomeka katika system ya UDOM hadi pale majina hayo yatakapopelekwa UDOM na kuwekwa katika tovuti ya chuo.
Na hili litakamilika pale NACTE OLAS itakapokamilisha kuchakata majina ya waombaji walioomba kupitia NACTE.
Majina yaliopo UDOM website ni wale waliochaguliwa na NACTE/MoEVT moja kwa moja.
 
Asante sana mpedwa kwa taari hizo zenye kueleweka pia naomba radhi kwa swali hili pia, katika profile yangu ya nacte nilichagua vyuo vitatu na mda ulivyozidi kwenda vilipungua na kubaki kama kwenye pacha nnayoambatanisha hapo chini je humaanisha nimechaguliwa?
 

Attachments

  • 1441022081075.jpg
    1441022081075.jpg
    16.2 KB · Views: 184
Sasaje nawalewalio tumamaombi kwa kutumia form ambazo tulizidownload kwenye web yao majina yanatoka lini?
 
Habar wanajf naomba kuuliza kwa cye tuliofanya application za ualm kupitia nacte tutapata ln post zetu? Halaf pia tutaanza kusoma pamoja na wale waliochaguliwa directly au kila kundi litaanza kivyake?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom