Kwa hiyo kama ndio akachomekea wazuri huwa hawafi, ni sawa na kumaanisha kitu gani kwa waliokufa?Unajua wabaya ndio hujishuku bila kutajwa. Mzee alikuws anajisahihisha baada ya kusema mama asipofika 2025 Mungu ataleta mwingine ndipo akachomekea wazuri huwa hawafi. Sasa kwa muktadha huo alikuwaambiaje anamuongelea Magufuli au anamsifia mama kwamba ni mzuri hatakufa mapema.
Tuache kuishi in denial.
3/4 ya wajumbe wa NEC TAIFA waliochaguliwa wametokea kanda ya Ziwa.
SAMIA SULUHU HASSAN umejifunza Nini?
Ubaya kuna mambuzi yanadhani yanamtonesha machungu tu mjane kumbe ni vidonda vimejaa mioyo.ya watanzania
Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!"
Mwenye hii clip tafadhali
The truth is, Samia ameomba radhi kwa kauli aliyoitoa Mzee Makamba kwasababu alijua Makamba alikosea, hapa msijaribu kumtetea Mzee Makamba.
Kwa kinywa chake, hakutakiwa kutoa kauli ile ya "watu wazuri hawafi" kwenye mazingira tuliyopo, mbele ya Mama Janeth Magufuli, na Mama Mkapa, msikwepeshe huu ukweli kwa kujaribu kulipaka kosa mafuta, mwambieni huyo mzee apunguze kuropoka.
Hii Kauli ilipaswa kukemewa!“Mungu ameamulia ugomvi” Nape
We jamaa una matatizo kishenzi...The truth is, Samia ameomba radhi kwa kauli aliyoitoa Mzee Makamba kwasababu alijua Makamba alikosea, hapa msijaribu kumtetea Mzee Makamba.
Ujinga mtupuKwa kinywa chake, hakutakiwa kutoa kauli ile ya "watu wazuri hawafi" kwenye mazingira tuliyopo, mbele ya Mama Janeth Magufuli, na Mama Mkapa, msikwepeshe huu ukweli kwa kujaribu kulipaka kosa mafuta, mwambieni ukweli huyo mzee abadilike.
Hii kauli no tata sana, isine kuwa wanataka kumuondoa bi mkubwa ili akina Jr wapete nafasi ya kusimama 2025Man,
Hao akina MTAZAMO wanajiona wao ndo wana uchungu zaidi na JPM kuliko hata Mama Janeth mwenyewe!!
Ni kutokana na hilo ndo maana wakiona mtu anaongea wasichotaka wao kukisikia basi wanamuona ana chuki dhidi ya JPM
In short, source ilikuwa hotuba ya Mzee Makamba, na kama kawaida yao, akaanza kumwagia sifa Samia! Wakati akiendelea na hizo sifa, ndipo akasema maneno haya:-
Baada ya kuongea hayo hadi JK akashika kichwa...
Sasa Mzee Makamba akaona amekosea kusema "Ukiondoka kabla ya 2025 Mungu atatupa mtu mwingine" na katika kujikosha, ndipo akasema maneno haya:-
Sasa akina MTAZAMO ndo wanaona Makamba kamaanisha Magufuli alikuwa mtu mbaya ndo maana amekufa kumbe alikuwa anajikosha kutokana na kauli yake kwa SSH kwamba akiondoka kabla ya '25 Mungu atawapa mtu mwingine...
Cha ajabu, hata Mzee Mkapa amefariki... lakini kutokana na paranoia, wao wanaona kasemwa JPM...
Msikilie mwenyewe hapa...
Huyo ni miongoni mwa hio timu Wana roho mbaya sana.The truth is, Samia ameomba radhi kwa kauli aliyoitoa Mzee Makamba kwasababu alijua Makamba alikosea, hapa msijaribu kumtetea Mzee Makamba.
Kwa kinywa chake, hakutakiwa kutoa kauli ile ya "watu wazuri hawafi" kwenye mazingira tuliyopo, mbele ya Mama Janeth Magufuli, na Mama Mkapa, msikwepeshe huu ukweli kwa kujaribu kulipaka kosa mafuta, mwambieni ukweli huyo mzee abadilike.
Kwa hiyo kama ndio akachomekea wazuri huwa hawafi, ni sawa na kumaanisha kitu gani kwa waliokufa?
Punguzeni haya mahaba yenu, mnazidi kumuharibu huyo mzee.
Uharo. Hivi hujui bila mJPM kusimama 2015 upinzani walikuwa wanachukua nchiUmenielewa?. Magufuli ndiye mgombea urais wa CCM aliyepata asilimia chache za kura kuliko mgombea yeyote wa CCM . Mwaka 2015 alipata asilimia 58 pekee. Inaa maana upinzani walikuwa wanapambania asilimia nane tu wagawane nunu kwa nusu na ccm.
Ndio maana alipoingia tu akazuia mikutano ya hadhara. Na pia kutumia muda mwingi kujitangaza kwenye vyombo vya habari. Hivyo uchaguzi wa 2020 aliamua kupambana ili yasimtokee ya 2015. Kura aliiba nyingi Sana, na mwishowe ikabidi aondoke tu.
Hili kundi lililopo sasa hivi ndio watu wabaya wenye roho mbaya kuwahi kutokea nchi hii.
Umejibu bila kujua namaanisha nini.Hapana mbona Sasa hivi watu wasiojulikana hawapo?. Hakuna mbunge aliyelimwa risasi hadharani kwenye makazi ya mawaziri.
Hizo post zako nyingine nimeziangalia ndio nikaona hazina maana kabisa.We jamaa una matatizo kishenzi...
Umeangalia posts zangu zingine au unaropoka tu?
Ujinga mtupu
Huyo ni miongoni mwa hio timu Wana roho mbaya sana.
Ni walamba asali, wajinga tu.Huyo ni miongoni mwa hio timu Wana roho mbaya sana.
Hawa ndio wauaji na washirikina.Huyo ni miongoni mwa hio timu Wana roho mbaya sana.