Special message to Mama Janeth Magufuli


Asante kwa uchambuzi. Wewe ndio umeelewa kauli ya makamba.
 
Huwa nawaza sana huyu mama sijui anajisikiaje maskini
I feel sorry for her.

Mungu wa Mbinguni azidi kumpa faraja.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Mtazamo ni mshika begi wa Dr Slaa , sasa baada ya Magufuli kuzikwa bakhishishi zimeisha , ndio maana unaona ngonjera hizi , yuko na mwenzake Mwanakijiji
Kuna siku niliwahi kumuuliza ikiwa hivi kweli alikuwa mfuasi wa CHADEMA au alikuwa mfuasi wa Slaa!

Back in the days niliamini kabisa kwamba MTAZAMO alikuwa Mfuasi wa CHADEMA Kindakindaki!!

Baada ya Dr. Slaa kuondoka CHADEMA ndipo nilipokuja kugundua kumbe hakuwa mfuasi wa chama bali mfuasi wa mtu, na tangia hapo, ukiongea jambo tofauti kuhusu JPM tu basi lazima aku-brand kwamba una chuki...
 
Wanamuita Mama yetu kipenzi kwenda kumdhihaki!
 
Unataka kusema lisu alipata Kura nyingi kuliko Magufuli?aisee anayefikira hivi amefika kiwango kidogo cha kufikiria.wanachama Tu wa CCM ni wengi kiasi cha kumpa mgombea ushindi ebu tumia akili sometimes.

Umenielewa?. Magufuli ndiye mgombea urais wa CCM aliyepata asilimia chache za kura kuliko mgombea yeyote wa CCM . Mwaka 2015 alipata asilimia 58 pekee. Inaa maana upinzani walikuwa wanapambania asilimia nane tu wagawane nunu kwa nusu na ccm.

Ndio maana alipoingia tu akazuia mikutano ya hadhara. Na pia kutumia muda mwingi kujitangaza kwenye vyombo vya habari. Hivyo uchaguzi wa 2020 aliamua kupambana ili yasimtokee ya 2015. Kura aliiba nyingi Sana, na mwishowe ikabidi aondoke tu.
 
Huwa nawaza sana huyu mama sijui anajisikiaje maskini
I feel sorry for her.

Mungu wa Mbinguni azidi kumpa faraja.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app

Anajiskia Kama mke wa Lissu alivyojiskia. Au mke wa been saanane anavyojiskia. Ila hakuna viumbe wanafiki Kama watanzania. Wanaona wengine wa maana kuliko wengine.
 
Wako na Slaa toka kwenye Ukatoliki
 
Anajiskia Kama mke wa Lissu alivyojiskia. Au mke wa been saanane anavyojiskia. Ila hakuna viumbe wanafiki Kama watanzania. Wanaona wengine wa maana kuliko wengine.
Kama vile mke wa ulimboka mke wa mawazo mke azory mke mvungi Hawa mbona hamuwasemei? Au lisu na saanane ni spesho zaidi? Au ndio kusema mmevaa unafiki mnasubiri akifa ndio mje muwataje? Leo ni mtakatifu mikono yake Haina damu? Nashawishika kusema CCM ni wazuri Kwa propaganda kiasi Cha kufanya chadema nao kuungana nao bila kujua kana kwamba Vifo vya kutatanisha vilianza kwenye utawala wa magu Tanzania tunasafari ndefu sana kupata kizazi kisichoyumbishwa
 
Jifunze hoja bila matusi ukitaka matusi utakuja kumwaga chozi sasa hivi sina utamaduni wa kumchagulia MTU tusi


Na hapa duniani ukimfanyia mwenzio ubaya jua malipo yato usifikiri tundu lisu anavyo umia MUNGU anapenda!
 
Magufuli kusemwa tu inakuwa nongwa wakati yeye si tu aliwasema watu bali aliwanyang'anya Uhai kabisa?
 
Hujawahi kuwa na akili ndiyo maana.
 
Jifunze hoja bila matusi ukitaka matusi utakuja kumwaga chozi sasa hivi sina utamaduni wa kumchagulia MTU tusi


Na hapa duniani ukimfanyia mwenzio ubaya jua malipo yato usifikiri tundu lisu anavyo umia MUNGU anapenda!
Nimekuelewa mwamba. Ujue smt emotional pains. Pia na hasira. Ila namwaga chozi tu Kama ukinipiga Ila mie huwa tusi huwa sipgopi. Niko emotional stable na matusi. Sema na hii emotional ya hasira bado napambana nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…