Special message to Mama Janeth Magufuli

From nowhere jamaa kaanza kunitukana,mbona wewe hujajibu matusi?
From nowhere?

We si ndo umeibuka from nowhere na kusema natoka Kundi la Wana Roho Mbaya?

Unanijua wewe?

Yaani natoka Kundi la Roho mbaya kisa kum-criticize Magu?

Jana ukadai nilikuwa nampinga Magu kwa sababu ya dini yake halafu hapa unadai nimetoka from nowhere?

Yaani kwavile wewe ulikuwa unamkubali kwa kila kitu hata kwa ukatili wake ndo unataka kila mtu awe kama wewe?

Hivi una akili kweli wewe?
 
From nowhere jamaa kaanza kunitukana,mbona wewe hujajibu matusi?

Nadhani Kuna post moja Kuna mdau alimtuhumu kuwa muaji wa Magufuli so akareact kwa kudhani ni wewe ndio umemtuhumu. It was just emetional.
 
Unataka kusema lisu alipata Kura nyingi kuliko Magufuli?aisee anayefikira hivi amefika kiwango kidogo cha kufikiria.wanachama Tu wa CCM ni wengi kiasi cha kumpa mgombea ushindi ebu tumia akili sometimes.
Jamaa ana hoja, yaani mfano kata nayoishi hatukufanya uchaguzi wa serikali za mitaa wala udiwani Wala ubunge wote hao walipiga bila kupingwa kiufupi hatukuona kampeni Wala hatukuchagua mtu!!

Katika mazingira hayo utasemaje uchaguzi ulikua huru? Na kama uchaguzi haukuwa huru ndio swali linakuja if Magufuli alikua anakubalika sana kama mnavyodai humu kwanini asingefanya uchaguzi wa wazi Ili wapinzani "waumbuliwe" kwa kura za Kumwaga!!!

That's the logic, yaani unakubalika why Sasa upore majimbo yote?

Kingine JPM anaweza kabisa kupoteza kura kumbuka hakufanya kampeni nyingi maana alikua mgonjwa, maeneo kama Mtwara na Lindi hakupiga kampeni. Kanda ya ziwa yenyewe tuliona akitishia watu kuwa wasipompa kura hawapati Barabara Sasa unapata wapi guts za kusema mtu huyu alishinda straight up bila "kuongeza" kura.
 
..hotuba nzima ya Mzee Makamba hii hapa.

..naomba muisikilize ili kutenda haki.

..kwa mtizamo wangu kuna baadhi yetu wanaikuza au kuipa tafsiri potofu kauli za Mzee Makamba.

..kinachoendelea hapa ni sehemu ya michezo michafu ya siasa.

JokaKuu

Mwanzoni nilimshutumu sana Mzee Makamba kwa kauli yake. Niliposikia maelezo ya SSH, nikaona anamtetea tu ikabidi nitafute clip.

Baada ya kuipata na kuisikiliza, nikaongea kama ulichoongea lakini nimeishia kuoga matusi tu toka kwa Wafuasi wa JPM...

Yaani hawa jamaa ni very paranaoid.
 
Kalinde kaburi chato. Kumpenda hakuzuii ukweli kuwa lilikuwa jizi la kura.
Miaka yote tunasikia malalamika ya wizi wa kura katika chaguzi zote watu wanajua ccm inaendelea kutawala kwa sababu ya wizi wa kura na kutumia nguvu ya dola, sasa wewe unataka kutuaminisha kwamba huo wizi wa kura kitu kipya alichokileta Magufuli.

Watu tumeacha kupiga kura toka hata Magufuli hajawa rais kutokana na kuona matokeo ya uchaguzi huwa yanajulikana hivyo hakuna uchaguzi ni upumbavu mtupu.

Haya Magufuli hayupo sasa tusubiri uchaguzi ujao tuone kama kuna jipya.
 
Naungana Nawewe kumpa pole mama yetu Janeti. Na sisi watanzania tulio wengi Tunauthamini sana Mchango wa Ndugu Magufuli.

Alitufanya watanzania tujivunie nchi yetu kwa uzalendo na kuchapa kazi.

Hapa sasa. Tunaanza kipata picha kwamba kifo cha Kipenzi chetu kuna Mikono ya watu Ambao wanaanza kujifunua mbele yetu.

Siku zote MTU mkweli na Asiyependa kona kona Hapendwi katika dunia ya sasa iliyosheheni Watu wabinafsi, walafi mafisadi na wasiopenda kuwajibika kwa Ajili ya wengine.

Mwisho
Magufuli hayupo ila Roho Yake na maono Yake hayafi. Mungu Atamwina Magufuli mwingine na Atatufikisha kwenye Nchi ya Ahadi.
 
Mungu akubariki kwa maneno yako ya hekima na busara.

Mungu aendelee kumlaza pema Dkt Magufuli
 
We hasira yako ni kama yangu mi mwenyewe sipendi nchi ya watu 61M inaliwa na Koo tatu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…