Special kwa wadada

Kama nyumban kwenu huwez fanya kaz usitegemee ukwen utaweza.. Jamani shughuli za nyumban ni kipaji inabidi mtu uanze kukipenda toka uko kwa bibi mkubwa wako
Malkia waambie wenzio ng 'ombe hanenepi siku ya mnada hata ukimpa mashudu.
 
kupika ni kipaji kama ilivyo musicπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

ndio maana wengine wanafundishwa,ila bado wakipika ,wanapika madudu.πŸ˜€πŸ™„
 
Ilishatokea kwa shangazi yangu tumekutana ukoo mzma akapewa kazi ya kukata kachumbeliilikua kama vipande vya nanasi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…