Special kwa wadada

Aaaaaaaaa my king my king my king nikaushie love Tehteh


Tena wali wa kwenye kuni/ mkaa mtamuuuuuuuuuu unanoga hatareeeeeeeeeeeeeeee.

Thanks for giving me happiness Smart911 my king...
 
asante kwa darasa zuri.
 
You are my lady and am your man...
 
Kama nyumban kwenu huwez fanya kaz usitegemee ukwen utaweza.. Jamani shughuli za nyumban ni kipaji inabidi mtu uanze kukipenda toka uko kwa bibi mkubwa wako
 
haha
kuna mtu hajui kupika miaka hii? mimi nikipewa interview ya kupika nadhani nitampindua hadi mama mkwe

hahahahahha mma wakwe weng wanapika kizaman chaa,,mammkwe wangu anatumbukiza minyanya mizma anakuambia hakuna shida zitalainika...hahaha hapo ni kwenye mchicha,dadek,mi kupika sihesabu km ni ishu as uifanye km hobby
 
Hao ni wale watoto wasiojua heshima anayotakiwa kuwa nayo mtu akiwa ukweni.

Hivyo wala usiwalaumu wakijua kinatakiwa nini watabadilika.

Na pia muwe mnafanya machaguo sahihi mana hiyo ni aibu sasa.
Navojua hapa online kila binti/mwanamke atakuja na tabia nzuri kama hii yako, tatizo linakuja wakiwa ofline wanavocharuka kama sio wao vile!
 
Navojua hapa online kila binti/mwanamke atakuja na tabia nzuri kama hii yako, tatizo linakuja wakiwa ofline wanavocharuka kama sio wao vile!
Hujaangalia comment za nyuma mbona kila mmoja kaja na kile anachoona kwake kina faa.
 
Kwanza kuna code of conduct inayoswma usipike ukiwa umepaka lipstick? Mpaka kupeana interview za kupiga ukweni hii ni ndoa au nafasi ya ajira?
Hahaha unasikia majibu yao
 
Sawa tutajirekebisha ili tupate hizo ndoa,
 
Hivi google hawajaleta hiyo app kabisaaaa!! Hiyo ni opportunity, wajitahidi walifanyie kazi.
 
Mkuu hawa wadada huwa hawajui kuwa linapokuja suala zima la kuoa, uzuri sio kigezo pekee, huwa tunaangalia vitu vingi sana.
Mwisho wa siku anajishangaa na uzuri wake lakini haolewi, wale anao wadharau wasio mfikia kwa urembo ndo wanao olewa.
Kigezo siku hizi ni tako tu, hayo mengine ni mbwembwe tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…