Ndio hivyo mdogo wangu kila mtu anafanya kile anachoona kwake kina unafuu na kina faida baadae.Dada, sasa huo wakati wanaokwenda nao huo ndo utawaponza, mwishowe watasema hakuna waoaji lakini kumbe chanzo ni wao wenyewe.
Sawa, ngoja smart atatuambia kwa upande wako.Mhmmhmhmhmhmhmhmh. Kila siku mwanaume ale chakula kilichopikwa na wengine sijui hotelini mara mama ntilie hata asionje chakula chako mwanamke?? Mhmhmmmmmmmmmm
Kwa siku za awali sawa but as days goes utajikuta tu you MUST cook for your man bwana acheni maneno yenu nyie
I think Lazima mwanamke uoneshe ujuzi wako na katika sekta ya mapishi pia....
Cc Smart911
hamna kitu kama hichi kwenye maisha haya ya sasa hii ni supu tuHata mimi mwenyewe nashangaa.. Huyu anakuza mambo tu.. Akajipange kwa somo jipyaa hili keshafeli...
Chumvi nyingi sana humu
Cc Smart911
Kabisa.Ndio hivyo mdogo wangu kila mtu anafanya kile anachoona kwake kina unafuu na kina faida baadae.
Kweli kabisaMchana na usiku anakula chips tu,wakija uku wanajisifia wanajua kupika.
UmenenaMkuu wanawake wa hivi tutaishia tu kuwatumia kwa mechi za kirafiki ila kuoa tunatafuta wale walofunzwa nini maana ya maisha na familia.
Nikaribie wapi sasa?Karibu aisee
Khaa.....!Unazeeka vibaya. Yaani umeshapasahau.
Jamani wanaume wenzangu huyu sio wa kumpa interview ya kupika nadhani kajipambanua.kuna mtu hajui kupika miaka hii? mimi nikipewa interview ya kupika nadhani nitampindua hadi mama mkwe
hapo hwatanipataJamani wanaume wenzangu huyu sio wa kumpa interview ya kupika nadhani kajipambanua.
Yaani miss umemaliza humu hatokei mtu kukupa mtihani huo yaani umpindue bimkubwa!hapo hwatanipata
yaani tunapika kuliko hata mama zetu mixer ya mafundisho ya mama,kitaa na googleYaani miss umemaliza humu hatokei mtu kukupa mtihani huo yaani umpindue bimkubwa!
Lakini baadhi yenu kama alivyoainisha mleta uzi ujue tunayaona haya ndio maana tunasema sio wote jamani uzungu umekuwa mwingi siku hizi hata misibani kuna mabinti hawaji shughulishi kabisa mpaka kulia msibani bint analia kwa key ili asiharibu make up.yaani tunapika kuliko hata mama zetu mixer ya mafundisho ya mama,kitaa na google
Kwanza kuna code of conduct inayoswma usipike ukiwa umepaka lipstick? Mpaka kupeana interview za kupiga ukweni hii ni ndoa au nafasi ya ajira?
Yes super dear... mahondaw wangu...