1. Hi JF: Natafuta rafiki wakike ambaye baadaye atakuwa mkewangu. Sifa: 1.Mkristo. 2. Age range from 24-28 yrs old. 3. Husiwe ushatowa mimba. 3. Huwe na upendo wa dhati. 4. Education level; Form 4 and above.
Sifa zangu; 1.Nina; higher diploma ya uchumi 2.Nina 30 yrs old 3.Nimejiajiri mwenyewe
Kwayeyote ambaye yuko-willingness tuwasiliane kupitia
SAWA. Ukweli uwa haujifichi. siku za mwizi ni 40days utanaswa tu na itakuwa noma mbele ya jamii inayo kuzunguka. So i advise you try/practise to be honest.