sodiumchloride
Member
- Nov 17, 2015
- 11
- 1
Jamani wanafunzi wote waliochaguliwa na chuo kikuu Dodoma batch 6 special diploma kutoka ile list ya nacte tukutane tujuane. Mbona admission letter zetu hazitoki karibuni kwa mawazo yenu
HurAAAAH TAYARI ZIMETOKA