Speaker directs probe into UDA ownership controversy

Ndiyo hivyo Mkuu Mr Rocky na MACCM AKA #Maintarahamwe yamedhamiria kubaki madarakani milele kwa kutumia kitengo chao cha vyombo vya dola, miaka mingine 52 Taifa letu litastahili kuitwa Taifa la Wapumbavu maana elimu yenyewe ndiyo hiyo inazidi kuporomoka kila mwaka.

 
Last edited by a moderator:
Sasa kama bunge halijui nani mmiliki wa uda na wao wanapaswa kusimamia serekali hii inatupa picha gani.

Mkuu Mani Hapo ndio ujiulize nani mmiliki wa UDA mpaka bunge halijui
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK

Mkuu BAK kuna mengi nyuma ya pazia UDA, EPA, MEREMETA, KIGODA, TANESCO,sasa wakitoka madarakani halafu mtu akafukunyue mikataba yao na namna walivyokwapua pesa si kila kiongozi atajikuta yuko kwa pilato. Sasa ya nini kuiachia nchi kwa watu kama hao bora watumie kila mbinu kuendelea kubaki ili hata pale juu wamweke mtu wao atakayelinda hizo siri bila hivyo ni mbaya sana
 
Reactions: BAK
Naam ili waendelee kutuzuga na huku bank accounts zao kule Switzeland na visiwa vya Jersey zikiendelea kunona, utasikia Tume ilitumia bilioni 20 na ilishindwa kuthibitisha mmiliki halali wa UDA ni nani.

Hivi ni kweli serikai ikitaka kujua kuwa kampuni flan inamilikiwa na nani, ni mpaka iundwe tume?
 
Haiwezekani kabisa katika nchi inayodai kuwa na "utawala wa Sheria" na ambayo ina vyombo vya usalama na wasomi kebekebe ishindwe kujibu swali rahisi tu la "nani mmiliki wa UDA"? Kama Shirika hili kubwa halijulikani nani mmiliki wake kwa uhakika (with absolute certainty) tunaweza vipi kuamini kuwa baadhi ya vitu vingine wamiliki wake ni wale ambao tumekuwa tukiamini muda mrefu kuwa ndio wao? Vipi kama siyo wao?
 
Mkuu Mr Rocky, fisadi Mkapa akishirikiana na Yona walijimilikisha Kiwira Coal Mining kiwiziwizi Wabunge hawakujua lolote walikuwa busy kubwabwaja mjengoni. Angalia mabilioni ya Uswiss mwezi ujao itakuwa ni mwaka wa pili tangu Serikali itangaze kwamba "uchunguzi unaendelea" na ufuatiliaji wa Wabunge kwenye hili ni SIFURI, na wahusika wameanza kuyachota mabilioni yale kwa fujo huku Serikali ikiwa kimyaaaa "inaendelea na uchunguzi" ikifikia mwisho wa 2015 si ajabu kusikia mabilioni hayo hayapo tena yameshayeyuka.

Mkuu Mani Hapo ndio ujiulize nani mmiliki wa UDA mpaka bunge halijui
 
simon group - 76% & govn't - 24% ownership of UDA...

kazi kwelikweli...


hivi kisena ameshajisalimisha polisi?
 



Hii nchi hii.....kila apataye ajira ni ulaji tu hadi anapitiliza.

Nchi hii nadhani iko siku uvumilivu utatushinda.
 
Reactions: BAK
anaye kusanya mapato ya zile ghala za uda...

anatafutwa na police.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…