Tafadhari kwa wale wataalam wa kuuza spea ni maduka au sehemu gani nawezaenda kununua kwa ajili ya kuuza either iwe Kariakoo au sehemu yoyote ambayo unafikiri wana bei nzuri, na kama una aidia ya kununua kutoka njee tupeane data pia.
Kuna Saba general/Msimbazi.
Salama bearing/Msimbazi. Millenium cars accesories/Nyamwezi. Joy spare parts/Mafia/nyamwezi. Several spare/Mafia/sikuku. Mandalia batteries/Mafia. Alpha spare/Mrgro road/libya.na mengine mengi utayaona wakati unapoenda kwenye hayo maduka niliyokutajia.
Wakuu me pia ningependa kujua ni maeneo gani kwa dar naweza kupata spea za Bajaji kwa bei ya jumla me nipo mkoani na nataka kufungua duka la spea za bajaji na wiki ijayo natarajia kufika Dar kwa ajili ya kutafuta mzigo so naomba msaada ni maeneo nitapata bidhaa bora na kwa bei nzuri.