kajiasalim Member Joined Oct 1, 2012 Posts 10 Reaction score 0 Mar 8, 2014 #1 Jaman wanajukwaa nisaidieni wapi pakununua spare za piki piki kwa bei rahis, ahsanten
M mari3mar Senior Member Joined Oct 26, 2013 Posts 185 Reaction score 77 Mar 8, 2014 #2 wholesale au retail. aina gan y oikipiki
LOGORIDDIM JF-Expert Member Joined Jan 25, 2013 Posts 1,599 Reaction score 1,142 Jan 29, 2020 #3 Habari wadau. Kwa yeyote mwenye uelewa mzuri wa hii biashara tafadhali tubadilishane mawazo. Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wadau. Kwa yeyote mwenye uelewa mzuri wa hii biashara tafadhali tubadilishane mawazo. Sent using Jamii Forums mobile app
Sipendi Uchawa JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 7,942 Reaction score 12,504 Jan 29, 2020 #4 kajiasalim said: Jaman wanajukwaa nisaidieni wapi pakununua spare za piki piki kwa bei rahis, ahsanten Click to expand... Hapo guang zhou tu mkuu. Ukiwa na baiskeli yako safi unapiga misele maduka yote. ama unaweza kwenda hata macao (sijui spelling) wanauza bei chee.
kajiasalim said: Jaman wanajukwaa nisaidieni wapi pakununua spare za piki piki kwa bei rahis, ahsanten Click to expand... Hapo guang zhou tu mkuu. Ukiwa na baiskeli yako safi unapiga misele maduka yote. ama unaweza kwenda hata macao (sijui spelling) wanauza bei chee.
ki2c JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 8,682 Reaction score 16,249 Jan 29, 2020 #5 Mkoa gani?