Spare za pikipiki

Spare za pikipiki

kajiasalim

Member
Joined
Oct 1, 2012
Posts
10
Reaction score
0
Jaman wanajukwaa nisaidieni wapi pakununua spare za piki piki kwa bei rahis, ahsanten
 
Jaman wanajukwaa nisaidieni wapi pakununua spare za piki piki kwa bei rahis, ahsanten
Hapo guang zhou tu mkuu. Ukiwa na baiskeli yako safi unapiga misele maduka yote. ama unaweza kwenda hata macao (sijui spelling) wanauza bei chee.
 
Back
Top Bottom