Spare za pikipiki Tabora

Spare za pikipiki Tabora

Lhey

Member
Joined
Jun 18, 2012
Posts
27
Reaction score
6
kwa wale wakazi wa Tabora mjini. Kuna duka la vipuri/spare za pikipiki za bei nafuu kuliko kawaida. Hili duka linauza kwa rejareja. Linaitwa yarabi salama autospares. Lipo mtaa wa mahakama ya mwanzo nyuma ya jengo kuu la ccm tabora.
 
Back
Top Bottom