Hyundai usijidanganye babu hata ukipata ajari ukiwa na bima kubwa hupati gereji na ukiipeleka kwa wakala wa hyundai bei yake mtashindwana na bima naongea hivyo kwa hua nilikua na Santa fee nikapiga nayo mzinga imenisumbua mwaka mzima kupata Spea ilibidi kuwatumia vijana wa kibongo mafundi pale hyundai wakawa wanaiba Spea kidogo kidogo wanafunga tukagawana nao pesa niliyolipwa na bima gari ilivyopona tu nilitafuta mteja fasta sitaki tena kusikia hyundai upuuzi mtupu ukiwa nayo tz,sikushauri