sinajinasasa JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 2,989 Reaction score 4,168 Nov 3, 2016 #1 Naomba msaada wa kufahamu wapi nitapata spare parts za Mitsubishi. Nahitaji Engine valve na gasket kit yake. Kwa kuwa nimekata sylinder head nahitaji hizo valve zimepinda baada ya timing belt kukatika. Engine type ni 3G83...U42T chasis type
Naomba msaada wa kufahamu wapi nitapata spare parts za Mitsubishi. Nahitaji Engine valve na gasket kit yake. Kwa kuwa nimekata sylinder head nahitaji hizo valve zimepinda baada ya timing belt kukatika. Engine type ni 3G83...U42T chasis type