myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Naulizia spea za Pajero jr kwa mwenye nazo
Spare gani unayotafuta,Model ya gari yako???ukiwezaweka chasis namba ya gari yako...unaposema spare ya pajero sijakuelewa.
Wasiliana na hawa watu ni nairobi. Omar Auto Spares Ltd. +254 721 574 436