Tiles 5 (tano) ya size 45 X 45 cm ni sawa na square metre moja. Boxes zipo za aina mbili, eida ya square metre moja kamili ya vigae 5 au ya 1.62 square metres ya vigae 7. Ila bei yetu ni kwa square metre si kw box. Maelezo zaidi 0763821010 Au uendelee kuulizia hapa mkuu.