Spain mpira ni magoli , mambo ya chenga twawala yatawaponza.

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,733
239,350
Mnacheza na timu nzuri mno ! Hakika leo wazee wa kubeti wanaelekea kuliwa tena .

Uzuri wa La Liga unaonogeshwa na Ronaldo na Messi hauwezi kuwabeba , hawa ni watu wa mataifa mengine , nguo ya kuazima hasitiri mwili .

Kosa moja kubwa na ambalo mtalijutia ni kumwacha benchi mkongwe Iker Casillas na kuamua kumjaribu De Gea , hizo si game za majaribio .

Hivi timu kama Czech Republic ni ya kuifanyia majaribio ?

Majuto ni mjukuu .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom