Spacio inauzwa 9 mil

Fasouls

JF-Expert Member
Jun 24, 2011
939
316
Habari zenu wakuu…
Spacio car inauzwa kwa bei tajwa hapo juu…gari ipo katka hali nzuri kabisa…pia unaruhusiwa kuja kuiona physically

PIGA 0757 585 102
Au ni pm

1922208_597533717003411_1741889067_n.jpg
 
Upo wapi? Yaani Mimi nitoke Kasulu huku nije kuona spacio huko uliko?? Kivipi weka picha, taja ukubwa wa injini, mileage, mwaka ambao gari limetengeneza, mwaka na registration hapa Tanzania...then hapo utakuwa at least umetangaza biashara....
#Team maswali
 
Picha hyo mkuu kwa maelezo zaidii piga namba hiyo hapo au nipm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom