Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Waswahili wanasema Palipo na Miti hakuna Wajenzi . sasa hao wazungu wakiwapa Soya ili watu wenye ugonjwa wa moyo wapone ni nani atatumia Vidonge vyenye Sumu? Amka wewe kijana bado ninakuona upo usingizini. Wazungu wametengeneza ugonjwa wa ukimwi na Dawa wanayo lakini hawataki kuitowa wanataka wapunguwe watu duniani ndio watatowa Dawa ya kutibu Ukimwi.Tiba ya ugonjwa wa moyo?nijuavyo mm ugonjwa unaoua watu weng sana dunian ni ugonjwa wa moyo,tena hasa ktk nch zilizoendelea,sasa si wangekua wanatumia hyo soya wapone kabisa?kumbe tiba ipo madaktar wa ulaya hawataki kuwapa wagonjwa au hawajui?
Soya ndo nini?ama maharage yote ni soya?