Hawa wenzetu wako mbali
nadhani kuwapata ni kazi
Sijui Boing 737 limegeuzwa Hotel
wakati sisi tung'aa sharubu kwa
ndege za kukodi na kila
siku zinaanguka.
Tatizo hata wakitupa bure hatutaweza
kuliendesha. Wapi Alhaj Mataka?[/QUOTE]
mzee mataka yupo pale sinza mori kuna baa maarufu sana jirani na B BAR utampata pale