Waungwana habari za jumatatu polen sana na shughuli za kila siku
Waungwana ninaomba kwa yeyote anayefahamu kwa tanzania ni chuo gan wanatoa course ya SOUND MIXING ENGINEERING naikabidhi kwenu
kwakweli mimi ni muda mrefu sana nimesaka hicho chuo hapa Tanzania sijapata,wengi nao wafahamu walio soma sound engineering wamesoma jirani hapo(Kenya)