Southern Africa is under Attack as Islamists massacres dozens of people in Mozambique

Mr What

JF-Expert Member
Oct 22, 2016
1,177
2,086
The Southern African countries must come together and help Mozambique fend off an escalating jihadist insurgency in a remote northern region of the country.

80c686be0ea76973d32499bc92ef3caa



This is a very huge threat to the SADC region, which is curently trying to deal with the outbreak of the coronavirus and there is fear that the group which has escalated attacks in Mozambique is linked to the Al Shabbab which also killed thousands of people in Somalia.

Some of the presidents of the SADC nations met in Harare and condemned the "armed attacks and acts of sabotage perpetrated by the terrorists and armed groups".

A shadowy Islamist group has terrorised remote communities in Mozambique's Muslim-majority north since 2017, killing more than 1,100 people, according to reports and this put the whole SADC region under threat.

It is believed that the militia group have grown bolder and has since upped its attacks over the past two months, stepping up attacks and venturing into towns as part of a declared campaign to establish an Islamist caliphate.

In a statement, the heads of state urged members of the Southern African Development Community (SADC) to support the Mozambique government.

Zimbabwean President Emmerson Mnangagwa who is the currect chair of the SADC committee urged the region to "stand shoulder-to-shoulder" and join forces against the jihadists killing scores of civilians and destroying private and state property.

He was reportedly saying that the terrorist threat had "assumed greater proportions" in the past decade and was now "becoming increasingly complex", he said.

These unrests have forced more than 200,000 people to flee their homes and stoked concern among energy giants operating in the region, reports said.

These are such unfortunate events as the region is trying to curb the outbreak of the Covid-19 and much has to be done to bolster the security systems of the region to help in fighting off the terrorists.
 
This is outdated information!! I don't understand why you are bringing back at this time as if is happening now while the issue occurred back in March/April and the jihadists were safely controlled?
 
Mozambique nao walishaingizwa kingi na hawa jamaa kama ambavyo harakati zilikuwa zikiendelea hapa nchini since 1990's; bahati nzuri hapa "hawakulegezewa"! Kuna kipindi nilifika Maputo nikakuta sehemu kadhaa zinazouza vyakula - migahawa, hotels, supermarkets, malls, etc. na hata baadhi ya packed foods na vinywaji vina labels za "HALAAL Certified".

Kimoyomoyo nikajisemea "tayari" na kweli ilikuwa tayari ngamia kishaingiza kichwa ilikuwa inasubiriwa ni lini aingize mwili. Naona "miguu ya mbele tayari ishazama ndani". Hatua madhubuti zisipochukuliwa ukanda wote huu utachafuliwa vibaya na hawa washenzi!
 
Maadam serikali ya Msumbiji haijaomba msaada basi ina uwezo wa kumaliza hilo tatizo.
 
Kwa mujibu wa ripoti za AU hilo kundi linajulikana kama ansar al sunna au swahili sunna. Huku kwetu walianza na vituo vya polisi nadhani mnakumbuka stori za Stakishari, na baadae likaibukia la Kibiti. Mungu alitupigania na umahiri wa vyombo vyetu vya usalama tukamudu hali zote na sasa tuko shwari, tuwe walinzi wazuri wa jamii zetu hasa kusaidia vyombo vya usalama kutoa taarifa pale tunapoona chanzo fulani maana hao jamaa wanaongea lugha yetu kwa ufasaha sana ili hali wanaweza kuvuka huku kwetu bila kuwajua mapema, nadhani kwa wanaofuatilia habari mlisikia vilio vya wavuvi Mtwara na wakazi wa vijiji vya jirani na mipakani hadi IGP Sirro akaenda kufuatilia.

Ushauri wangu kwa vyombo husika hapa nchini pia mchukue tahadhari na viongozi au vikundi vya dini vinavyo jaribu kupaka uupuzi kwenye akili za wengine hasa mabarobaro/vijana. Kenya waliweza kumfuatilia Sheikh abdu rogo na makala zake za uchochezi, Uganda akina Sheikh kamoga na karibia maeneo ya Congo akina jamil mukulu , dusmas sabuni wameshadhibitiwa.

NB: Tuwe walinzi wa kwanza wa Taifa letu kupinga uhalifu, tukichukulia mzaha tutashudia mengi. Mungu azidi kumbariki Raisi wetu, Taifa letu pamoja na Afrika nzima. Tunaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Back
Top Bottom