KIdundulima hujaelewa maana ya thread.
Me nimesema wanataka uhuru wao lakini Kenya nao kuona ni nchi yenye mafuta wanataka kuingiza ukaburu.
Angalia bendera ya Kenya na bendera wanayotaka kuiweka SS
haya nimekuelewa Darwin. Ukweli ni kuwa walitendewa wema na wakenya kuliko Nchi nyingine yoyote. Kumbuka mzigo wa wakimbizi na namna kenya ilivyowasomesha