South Sudan vows to shut down oil fields, pipeline over high transportation fees

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
16,054
11,557
January 17, 2016 (JUBA/KHARTOUM) – South Sudan’s Petroleum and Mining ministry says it may be forced to shut down its oil fields in Upper Nile state and turn off pipeline, should the Sudanese government a request to lower its oil transit fees.

pipeline-73df2.jpg

A pipeline that transports crude oil from the south to Port Sudan (Reuters)
“We are left with no option at the moment rather than to shut it down because it’s not feasible. We cannot sell the oil at loss”, the ministry said in a memo sent to Sudan’s Ministry of Petroleum and Mining.

South Sudan, according to a negotiated agreement, pays Khartoum up to $25 per barrel for its crude oil transported through the Sudanese territory.

Juba’s letter requesting the Sudanese Petroleum and Mining Ministry to reconsider its transit fees comes in the wake of changes in global oil prices.

The price of crude oil is currently at $29 dollars per barrel in the international markets.

Presently, South Sudan is producing oil at 160,000 barrels per day, despite a decline in its oil production due to the violent conflict that engulfed the young nation, killing thousand and displacing nearly two million people.

SUDAN WILL STICK TO OIL FEES

Meanwhile, a Sudanese said Khartoum would not change terms of the agreement for the transportation of South Sudan’s oil across its country.

In a statement published in the Qatari newspaper al-Raya, Sudan’s Finance minister, Badr al-Din Mahmoud, said the transit fee for South Sudan’s oil is of two parts, citing the $ 9.5 as transit fee and $15 as a transitional financial arrangement, agreed after South Sudan seceded from Sudan.

“That makes a total of 24.5 U.S Dollars per barrel,” said Mahmoud, further stressing that South Sudan’s oil transit fee was bound by an agreement signed in September 2013 and that it was not amended or re-negotiated.

Following a recent visit to Khartoum, South Sudan’s foreign affairs minister, Barnaba Marial Benjamin said his trip explored restarting discussion on oil transit fees, currently at $24 per barrel, despite global reductions in oil prices.

“The reality of the fact is that the production of the oil is down. We are producing about 165,000 barrels a day and on top of that there is drop in the oil prices,” Marial told reporters in the South Sudan capital, Juba.

“There is economic reality in which both countries of course through ministries of petroleum are going to discuss that issue,” he added.

South Sudan, experts say, now receives less than $5 per barrel when transit charges paid to Sudan are deduced and oil exploring companies are paid.

(ST)

Kutoka Juba hadi Kampala ni km 112 tu, tumtume Dr.Mataragio Dr.Mahiga na Prof. Muhongo tuangalie uwezekano wa kujonga bomba la mafuta kutoka juba hadi kampala liunganishe na bomba la kutoka kampala hadi Tanga, Kutoka Juba hadi port Sudan ni km 2660 na kutoka Juba Kampala hadi Tanga ni km 1600 tu. hapo nimeunganisha na njia ya bomba la Total.

Kwa sasa South Sudan wanasafirisha mapipa laki 350 kwa siku, wakiweza kupitisha hata pipa laki moja kwa siku imetosha kabisa. Ikumbukwe Sudan wanalipwa US$ 25 kwa pipa jambo ambalo South Sudan wanaona wananyonywa.

Napendekeza Raisi Magufuli na Museveni waishawishi Sudani kusini ijenge bomba la mafuta kutoka Sudan kusini hadi uganda ili waunganishe na lile linalokuja Tanzania mafuta yao yaje yaondokee bandari ya Tanga .Bomba hilo likitumiwa na nchi hizo mbili litawasaidia Uganda pia kupunguza gharama za uendeshaji kwani watakuwa wana-share na sudan kusini,

Faida ya Sudan kusini kujenga hilo bomba kupitia Uganda ni kama ifuatavyo

1.Usalama wa hilo bomba kwani linapita maeneo ambayo raia wa sudan kusini na wale wa kaskazini mwa uganda ni ndugu.Wametenganishwa tu na mpaka.Bomba halitapita maeneo ya waasi au yenye tishio la Alshababu

2.Uhusiano wa Uganda,Tanzania na sudan kusini ni mkubwa na wa kuaminika
3.Kwa kupitisha mafuta eneo hilo Sudan kusini itaweza uza mafuta yake kwenye masoko makubwa ya Tanzania,Kongo,rwanda,burundi,Zambia,Malawi na kenya kirahisi pamoja na kusafirisha nje ya nchi kirahisi
4.Umbali wa Kujenga bomba kutoka sudan kusini hadi uganda ni karibu kuliko kulijenga kwenda bandari ya Lamu.Angalia Ramani

east_africa.jpg
 
Kutoka Juba hadi Kampala ni km 112 tu, tumtume Dr.Mataragio Dr.Mahiga na Prof. Muhongo tuangalie uwezekano wa kujenga bomba la mafuta kutoka juba hadi kampala liunganishe na bomba la kutoka kampala hadi Tanga, Kutoka Juba hadi port Sudan ni km 2660 na kutoka Juba Kampala hadi Tanga ni km 1600 tu. hapo nimeunganisha na njia ya bomba la Total.

Kwa sasa South Sudan wanasafirisha mapipa 350,000 kwa siku lakini imeamua kupunguza uzalishaji hadi kufikia 165,000 kwa siku, wakiweza kupitisha hata pipa laki moja kwa siku imetosha kabisa. Ikumbukwe Sudan wanalipwa US$ 25 kwa pipa jambo ambalo South Sudan wanaona wananyonywa.
 
Itakuwa poa kwetu mkuu. Nasisi hatuna mikwaruzo na wasudan kwa hyo hatuwez kuwageuka geuka, kuwahujumu Na the like
 
Itakuwa poa kwetu mkuu. Nasisi hatuna mikwaruzo na wasudan kwa hyo hatuwez kuwageuka geuka, kuwahujumu Na the like
Tumtume JK aende UN akawashawishi waondoe hati ya kukamatwa kwa Al Bashir kwa kubadilishana na hili dili la mafuta, nusu yapite Port Sudan na Nusu yapite Tanga kupitia kampala.
 
Tumtume JK aende UN akawashawishi waondoe hati ya kukamatwa kwa Al Bashir kwa kubadilishana na hili dili la mafuta, nusu yapite Port Sudan na Nusu yapite Tanga kupitia kampala.
Kwani mkuu kuna ulazima wowote wa ku-negotiate kwanza na Khartoom kabla ya kukubaliana na Juba kupitisha mafuta bandari ya Tanga??

Mi naona mafuta yanatoka Juba why kunegotiate na Khartoom??
 
Kwani mkuu kuna ulazima wowote wa ku-negotiate kwanza na Khartoom kabla ya kukubaliana na Juba kupitisha mafuta bandari ya Tanga??

Mi naona mafuta yanatoka Juba why kunegotiate na Khartoom??
Yapo makubaliano ya South Sudan kupitisha mafuta Sudan inapaswa kulipwa US$ 15 kwa barrel inaitwa rehabilitation fee pia wanalipa transit fee ya US$ 9.5, hivyo kabla ya kufikia mwafaka na GOSS vizuri kuwekana sawa na Al Bashir. Africa fursa ni nyingi mno hamna haja ya kusumbuka na MCC fund.
 
Mkuu kwani huo mkataba kati yao ulikua kama means ya wao kujitenga au ulikuwa wa wao kupitishiwa mafuta(beussiness deal9)??
Hili lilikuwa moja ya makubaliano ya kujitenga, wakati huo barrel ilikuwa US$ 60, sasa barrel moja ni US$ 29, lakini Sudan wamekataa kushusha bei.
 
Hawawezi kujenga kirahisi hivyo, kumbuka wana mkataba na sudani, wakivunja mkataba inaweza kutokea vita

lile bomba ni mali ya sudan kusini.Ndio maana muda wowote waweza lifunga hata kuling`oa wakitaka.Ni mkataba wa kawaida wa kibiashara.

Njia ya Sudan kusini kupitisha mafuta yake Tanga ni kuingiza mafuta yake soko la afrika mashariki na kati badala ya kusubiri kuyasafirisha nchi za mbali.Gharama zake zitashuka chini na atauza kwa faida sababu yakitua tu Tanga malori ya kutoka Africa Mashariki na kati yatafurika pale kubeba mafuta hana haja ya kupeleka ma ulaya au wapi.Soko hapa hapa
 
Mabomba yalijengwa kabla ya uhuru wa sudani kusini
 
Mabomba yalijengwa kabla ya uhuru wa sudani kusini

baada ya vita kila nchi iliondoka na mali zilizoko kwenye nchi yake.Za sudan kusini zikawa zake za kaskazini zikawa zake.Hilo bomba ni la sudan kusini pamoja na visima vyote vya mafuta vilivyoko Sudan Kusini viwe vilichimbwa kabla ya uhuru au baada ya uhuru.
 
Hili lilikuwa moja ya makubaliano ya kujitenga, wakati huo barrel ilikuwa US$ 60, sasa barrel moja ni US$ 29, lakini Sudan wamekataa kushusha bei.
Mkuu according to BBC sources, hii agreement ya kupitisha mafuta Sudan ilisainiwa baada ya South Sudan kuwapigia magoti Khartoom na ilikua ni business deal tu haikua part ya agreement.

Sudan baada ya South kujitenga ilipiga marufuku South kutumia miundombinu yake kusafiishia mafuta kama sehemu ya kuwakomoa , ikabidi South awe mpole tu na mwaka 2012 ndipo akakubaliwa kusafirisha mafuta baada ya kwalilia na kukubali kuachia $24.5 per pipa moja.

Means kwamba makubaliano haya hayakuwa ya wao kupewa uhuru wao(kujitenga) isipokuwa ilikua ni business deal tu na aliye enda kui-nitiate ni South Sudan, na kwa kuwa ni business deal inaweza kuvunjwa wakati wowote, kama utatokea mbadala wa kusafirisha haya mafuta
 
Mabomba yalijengwa kabla ya uhuru wa sudani kusini
Ni kweli mabomba yalijengwa kabla ya uhuru wa Sudan kusini, na kwa kuwa Sudan kusini ndiye aliyeomba kujikata kwenye Sudan, mabomba yalibaki mali ya Sudan(Khartoom).

Na kama Sudani Kusini ikitaka kuyatumia inalipa ushuru moja kwa moja kwa Sudan kama nchi nyingine yoyote ile inavyotakiwa kulipa.
 
Kutoka Juba hadi Kampala ni km 112 tu, tumtume Dr.Mataragio Dr.Mahiga na Prof. Muhongo tuangalie uwezekano wa kujenga bomba la mafuta kutoka juba hadi kampala liunganishe na bomba la kutoka kampala hadi Tanga, Kutoka Juba hadi port Sudan ni km 2660 na kutoka Juba Kampala hadi Tanga ni km 1600 tu. hapo nimeunganisha na njia ya bomba la Total.

Kwa sasa South Sudan wanasafirisha mapipa 350,000 kwa siku lakini imeamua kupunguza uzalishaji hadi kufikia 165,000 kwa siku, wakiweza kupitisha hata pipa laki moja kwa siku imetosha kabisa. Ikumbukwe Sudan wanalipwa US$ 25 kwa pipa jambo ambalo South Sudan wanaona wananyonywa.
Ushauri mzuri huo
 
Mkuu according to BBC sources, hii agreement ya kupitisha mafuta Sudan ilisainiwa baada ya South Sudan kuwapigia magoti Khartoom na ilikua ni business deal tu haikua part ya agreement.

Sudan kusini imeingizwa kwenye jumuiya ya Afrika mashariki kama mwanachama.Igeukie upande huu wa Afrika mashariki haina haja kujikomba kwa wasudan kaskazini ambao ni wanachama wa jumiya ya nchi za kiarabu.Sudan kusini aje kwa waswahili wenzie aunge bomba na kampala hadi Tanga
 
Back
Top Bottom