How old are you? I suppose you are in your twenties. Hapa Tanzania ki sheria tulipokua tukimaliza tu form six tuenda jeshini. Wengi tuliohapa ni wanajeshi, mawaziri wetu wote mpaka raisi wetu aliyetoka na aliyopo ni wanajeshi.
tunajua art of war, kwakua tulihudhuria mafunzo hayo. Wewe kaa keyboard andika utakavyo kwakua huna unachojua kuhusu mambo ya kijeshi. Ndani ya East Africa Kenya has the weakest army, jeshi lenu halina war veteran hata mmoja, na vita yenu ya kwanza ni huko Somalia, na hamko alone, kuna Uganda, burundi, na Ethiopia ndio walikua wa kwanza kuingia Somalia.
Kifupi tu, Kuanzia Kagame-rwanda Museven-uganda, Jacob Zuma-south africa, felipe Nyusi-mozambique, Hage Geingob-namibia, kabila-congo, dos santos-angola, mugabe-zimbabwe hii ni list fupi ya maraisi walio madarakani ambao trained Tanzania na magenerals wao trained Tanzania. John Garang-South Sudan, Nkurunzinza-burundi, hata wale mafala waliotaka kumpindua pia trained Tanzania. Na pia hata nnchi nyingi hapo hata maraisi waluopita, magenerals wao.
Fanya research ya nilichokiandika utaelewa JWTZ ni nini katika ukanda huu na Africa in general.
tumefanya mapinduzi kwenye nnchi nyingi sana Africa. Mavi! Wakenya wengi ni mdomo tuu, wakati kila kukicha Al shabab wanawachinja hivyo.
nugu wewe Kenya imeenda peace missions tangu 1970 hata Asia tumeenda na wakenya wanafanya mazoezi pamoja na nchi nene kama USA na Israel from RECCE to RANGERS,GREEN BERETS,AIRFORCE...wote wanafanya mazoezi na USA sasa mtawezana na sisi kweli labda kwa idadi ya maswimbi katika jeshu tu...