‘South African Fritzl’ ‘raped’ long-lost daughter | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

‘South African Fritzl’ ‘raped’ long-lost daughter

Discussion in 'International Forum' started by Bao3, Sep 14, 2009.

 1. B

  Bao3 JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2009
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  A German girl who went to see her biological father in South Africa was allegedly held captive for two months as a sex slave

  BY DONALD HAMER

  FIRST POSTED JULY 6, 2009

  AGerman girl's search for her biological father allegedly ended in a horrifying case described as 'South Africa's Josef Fritzl'. The Afrikaans language newspaper Rapport claims that the 18-year-old from Heidelberg traced her father on the internet before flying out in February to meet him in the Cape Town suburb of Muizenberg.

  Trouble began when the girl and her father, nicknamed Sandra and Heinz by Rapport, were watching a DVD together. He made advances towards her and when she refused he allegedly threatened her with a knife and raped her. Afterwards 'Heinz' is said to have raped 'Sandra' as often as three times a night during the two months he held her captive.
  Bizarrely, the father (pictured above) took his victim to stay with friends and it was they who rescued the girl after she wrote them a message outlining her plight. It is understood she had been too scared to attempt an escape earlier, because she didn't know the city.
  The accused man now faces charges of rape with incest and assault with intent to cause grievous bodily harm. He was released on bail of 1,000 Rand, around £77, and must report daily to the local police station. Captain Stephen Knapp of the Muizenberg police confirmed he will appear in court on August 7. Meanwhile his daughter remains in South Africa in protective custody with her brother.

  Although the case has been dubbed by local media 'South Africa's Josef Fritzl', because of the parallels with the case of the Austrian man who kept his daughter as a sex-slave in a basement dungeon, it is by no means unique in South Africa.

  Kathleen Dey, director of Rape Crisis Cape Town Trust, told theTimes of South Africa that a 14-year-old from Cape Town recently went to stay with her father and his new family. "Every night when the family was asleep, he would rape his biological daughter," Dey said.
  It was only when she returned home from her 11-day visit that she broke down and told her mother everything. Dey sees it as a warning of the dangers of allowing children to track down long-lost parents on their own.

  Source: The Sun.
   
  Last edited by a moderator: Sep 14, 2009
 2. A

  Alpha JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2009
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  WTF!!!!

  I guess rape (and your daughter for gods sake) is not a big deal in South Africa
   
 3. G-son

  G-son Member

  #3
  Sep 14, 2009
  Joined: Sep 5, 2008
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mmmmh! Naona ndo imekuwa fashion ya life not only in S.African but even in our TZ. Ni juzi nikiwa Arusha nilikuwa nasikiliza redio moja ya dini ya hapo Arusha nikasikia kisa cha kusikitisha na walitoa ili kuomba msaada.

  Kisa chenyewe kilikuwa hivi:-

  Kuna familiy moja imepatwa na mtikisiko pale ambapo baba mtu amemtia mimba mwanaye wa kumzaa (binti). Kisa kililetwa redio wakitaka ushauri ambao mama alienda kuomba kwani anasema inamtia aibu ya mwaka na anamchukia huyo bintiye yuko tayari hata kumuua, ila dhamira inamshitaki na ndio maana alienda kuomba ushauri. pia kuna hatari ya ndoa yao kuvunjika ingawa ndoa ni ya kikristo. Sasa achujuye jukumu gani kabla hajaamua kufanya nachotaka yeye mwenyewe?

  Redioni walikuwa wanataka mchango wa mawazo jinsi ya kuisaidia familia hiyo.

  Je wewe unamshauri nini mama huyo. au ingekuwa wewe " baba" au "mama" utafanyaje kwenye hilo

  Nawasilisha wana JF

  Kisa cha pili ingawa kilinaonekana tofauti kidogo na kuripotiwa na redio hiyohiyo ya dini ni hiki:-

  Kuna familia mbili ambazo zimekuwa rafiki kwa muda sasa na zote kufanikiwa kupata watoto ambao kwa sasa ni tunaweza kuwaita watu wazima kwani baadhi yao wako wana elimu ya Chuo Kikuu. Kimaelezo labda niite familia ya kwa Z na ya pili Y.

  Familia zote zina watoto 2 wakiumw na wakike kila moja. Ilikuja tokea kuwa mtoto wa kiume wa familia Z alipokua chuo wakakutana na binti wa familia Y ila wanajuana tangu nyumbani kwao. Wakaanza urafiki ambao baadaye uliishia kwenye kupeana ujazo uzito.

  Bila wasiwasi mtoto wa kiume wa familia Z akamwambie babake kuwa anataka kumuoa binti wa family friend yao hapo jirani yaani familia Y. Baba akakataa katakata, lakini mama wa kijana huyo akaungana na kijana wake kuwa itakuwa vizuri kwani wanamfahamu vizuri binti huyo.

  Upande wa Pili yaani familia Y waliposikia jambo hilo baba wa binti akasema hapo ndo mahali yake kwani yule kijana anafaa haswaaaa! lakini mama wa binti akasema haolewi mtu pale kwa Z pamoja na kuwa binti tayari mjamzito.

  Baada ya mchakato wa muda wazee wenye busara wakaingilia kati na kutoa ya mwaka kama ifuatavyo:-

  Nanukuu

  Yule kijana wa family Z na binti wa family Y ni ndugu wa damu. Kivipi????? Baba wa family Z alikuwa rafiki wa siri wa mama wa family Y, wakapata binti huyo. Ila wakafanya siri hivyo mama wa Z family hajui wala baba wa family Y hajui na ndio maana hawa walishabikia. Lakini mama wa binti "Y" alifahamu kuwa binti yule si wa mume wa ndoa ila ni wa baba family Z ambaye pia aliambiwa kuwa ni wake yule binti, wakatulia na KUKUMBATIA BUMU MPAKA LILIPO LIPUKA.

  Sasa swali hili zile familia mbili ni maadui wakubwa, uadui unaoweza kupalekea maafa, je unawashauri wapatanaje ili kuridusha hali ya utulivu tena ingawa haitakuwa kama mwanzo.

  Nawakilisha tena wana JF.
   
 4. G-son

  G-son Member

  #4

 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  Life goes on
   
 6. Z

  Zebaki Member

  #6
  Sep 14, 2009
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh!!! Hiyo ya familya Z na Y imeniacha hoi!!!
   
Loading...