ndupa JF-Expert Member Joined Jan 25, 2008 Posts 4,403 Reaction score 151 Dec 27, 2012 #1 nahitaji kuzamia south africa for a time kidogo,,,ntaanzia wapi
asrams JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 4,798 Reaction score 2,657 Dec 27, 2012 #2 mavitu said: nahitaji kuzamia south africa for a time kidogo,,,ntaanzia wapi Click to expand... Haina haja ya kuzamia. Fata taratibu za kuomba visa utapewa tu na ukifika huko unawepa pata temporary permit. Mambo ya kuzamia yashapitwa na wakati Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
mavitu said: nahitaji kuzamia south africa for a time kidogo,,,ntaanzia wapi Click to expand... Haina haja ya kuzamia. Fata taratibu za kuomba visa utapewa tu na ukifika huko unawepa pata temporary permit. Mambo ya kuzamia yashapitwa na wakati Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
Duduwasha JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 5,703 Reaction score 3,663 Dec 27, 2012 #3 Anzia Somalia tu huko ukipata passport ya al shabab ujue safari ya south ni murua tu
Mu-sir JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 3,621 Reaction score 1,643 Dec 27, 2012 #4 asrams said: Haina haja ya kuzamia. Fata taratibu za kuomba visa utapewa tu na ukifika huko unawepa pata temporary permit. Mambo ya kuzamia yashapitwa na wakati Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk Click to expand... South Africa hakuna haja ya kuwa na Visa ni passport yako tu mkuu.
asrams said: Haina haja ya kuzamia. Fata taratibu za kuomba visa utapewa tu na ukifika huko unawepa pata temporary permit. Mambo ya kuzamia yashapitwa na wakati Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk Click to expand... South Africa hakuna haja ya kuwa na Visa ni passport yako tu mkuu.