si kweli kwamba mtu mwenye umri wa miaka 18 na kuendelea ndy anayepaswa kusheria kuingia katika mkataba, Lahasha, hata mtu aliyechini ya miaka 18 aweza kuingia katika mkataba katika mazingira fulani. thisis not extrict rule. mazingira haya yaweza kuwa kama, mikataba inyohusu mambo ya msingi kama elimu, chakula, mavazi nk. soma SOGA utaelewa vizuri. asante