Sound drivers

srinavas

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2011
Posts
4,322
Reaction score
4,282
jamani naombeni kama kuna mtu anajua nitapataje sound drivers za compaq hp
 
hp compaq zipo aina nyingi taja aina na namba na windows unayotumia
 
unpack alafu Instal Setup iliyopo kwenye hii attachment,,, sikunyingine pia utoe maelezo yote, Sound Device Name iliyopo, OS,,,etc
 

Attachments

Miongoni mwa mambo yanayonikera humu JF, ni pale mtu akiwa na shida anaileta humu baada ya hapo, anatokomea kizani.
Mtoa msaada anakuwa hajui kama jamaa kafanikiwa au la.

Kwani kuna ugumu gani mtu akifanikiwa akaleta feedback?
Ni jambo dogo tu la kiungwana lakini.
 
ni kweli kabisa mkuu,,
 

Nadhani ujumbe wameupata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…