mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 955
Kama kuchagua brand soud kachagua,anajipa shida muda mwingi kwa kuvaa mask,akitaka kula lazima afunue kofia lake,hivi najiuliza kwenye matukio ya kijamii inakuaje,msiba,kuchimba kaburi,harusi,na kama ameoa alienda na mask ukweni?kama ndiyo basi kamuoa mtoto wa chid benzi