Xoldier
JF-Expert Member
- Mar 27, 2017
- 424
- 153
Habari wakuu,
Mi ni mgeni kidogo kwenye configurations za Sophos routers, my ISP provided me with an IP, netmask, gateway, dns, and VPN ID kupata internet. Challenge ni kwamba nawezaje ku apply VPN given by ISP ili LAN yangu iweze negotiate na WAN ?.
Nisaidieni wakuu.
Nimefanikiwa kui set as a bridge where nina small D link router ambayo nimeweza kuweka setting. But my goal ni iweze kuweka VPN from WAN ili iwe in Gateway mode.
Msaada tafadhari.
Natanguliza shukrani za dhati kwenu