Sophia Simba ni Waziri Bogus

hivi kumbe ni msomi naye huyu. Aliuzwa SADC kirefu chake nini akajibu aahm... sijui, watu wengi hawajui
 
huyu mama ni aibu tupu. na kinachonishangaza ni kwamba NI LAZIMA APATE UONGOZI pamoja na ubogus wake. Mpaka napata mashaka kati ya fikra zake na namna anavyopata uongozi
 

ndugu yangu umetoa maneno ya ukweli,watendaji wengi wa serikali hawana akili pamoja na huyo jk,ndo maana hata tunazidi kuwa masikini kwa kila sehemu.
 

Mkuu ... huyu mama nahisi bwana mkubwa ANAMKAZA, sababu huwezikuwa na waziri mwenye dhamana kubwa ambaye ni mbumbu kiasi hiki unless unamaslahi mengine.......ni bogus kupita maelezo.Mwanzoni nilifikiri labda anateleza siku mojamoja, lakini sasa ndio nimeamini huyu mama ni hamnazo. Eti ndio mwakilishi wetu SADEC . Uhuni mtupu.......
 
Kwa kweli bora hata binti wa primary angeweza kujieleza vizuri kuliko huyo mama......eti watakuwa na uwezo wa kuchagua mume wakimaliza darasa la 12, mbona wanafunzi hata wa primary mabinti huwa wanajieleza vizuri tu.......
 

Ndio kufanya nini???
 
Huyu Mama si ndiye aliye waambia akina Mama wengine eti kama waume zao hawataipigia sisiemu wawanyime unyumba?
 
Baba wa kaya ashawai kusema kwenye mkutano ulojaa watu wa rika mbalimbali kuwa shughuli ile (ngono) sio dharula, Akaja festi Ledi akasema wanafunzi wanaopata mimba ni vielehele vyao na wasichukue waume wao, Na sasa imefatia simolo hausi ya Baba wa kaya maneno mmeyasikia, Sasa mnategemea nchi iongozwe na malaika gani kama sio Freemason????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…