GATS JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 240 Reaction score 18 Feb 27, 2011 #1 jamani naomba kkueleweshwa kwenye gazeti moja la tar.26 liliandika kuwa sofia simba amekisifia CDM. sasa sielewi hivi amesifia kweli au ni ujanja tu huku kukiwa na nia flani? Nawakilisha.
jamani naomba kkueleweshwa kwenye gazeti moja la tar.26 liliandika kuwa sofia simba amekisifia CDM. sasa sielewi hivi amesifia kweli au ni ujanja tu huku kukiwa na nia flani? Nawakilisha.
G Gad ONEYA JF-Expert Member Joined Oct 26, 2010 Posts 2,629 Reaction score 172 Feb 27, 2011 #2 Eeeh! na mimi sijaipata hii!