Sophia Simba anaogopa mahakama??

sofia ni jamvi la vigogo, alikuwa tarishi na baadaye kujiendeleza kwa kupata degree ya chupi ukubwani! hajui mahakama ina fananaje wala hawezi kuandaa mkataba hata wa kuuza panzi!

amshukuru sana KK, ndo alomuweka mgongoni na kumfikisha hapo!


Mtamaliza kila neno kwani asiewajua Chadema kwa vidomodomo na kuchonga kwa sanaaaa bila matendo.

Sema mtavyo sema lakini Yeye ana wasubiri mahakamani na sio kwenye vyombo vya habari kama alivyofanya mnyika na Chadema.

Sisi sote tunasubiri mumjue kuwa Sofi si mchezo hususan katika nyanja ya sheria. Na mtajua alipractice wapi kudadeki.

Nendeni makamakani kama imewauma basi tufaidi uondoooo.
 
Kumbe ni msomi kiasi hicho! mbona anaongea upupu kama mtu ambaye hajaenda shule? Tafadhali usimsingizie mama wa watu. Kwa jinsi anavyotoa matamshi yanayomdhalilisha sikutegemea kama mama amesoma kiasi hicho. Alipowaambia wanawake kuwa wawanyime unyumba waume zao watakaoshabikia upinzani niliishiwa nguvu

Si kila aliyesoma ameelimika. Pia kuna tofauti kati ya kuwa na vyeti na performance
 
habari,
Katika hali ya kustuka au kusasambuka basi Sophia Simba yupo katika wakati mgumu kimaisha hivi sasa... Akiwa anapiga simu kwa kila mtu na kuanza kuweweseka baada ya CHADEMA kumpiga biti kuwa itampiga sero kama akishindwa kusasambua umbea wake kuwa cdm inapewa dogodogo toka majuu... Yeye anaulizia hivi sasa kama sheria ipo ya propaganda za kisiasa zisifunguliwe kesi...
Mama huyu mwenye masters ya ¨sheria¨ anabahatisha mambo ama kwa bahati mbaya au ucheki bobu wake umezidi... Sasa Lissu na Mabere wanataka akanyee debe..Bahati mbaya saaana maana aliongea kwa bahati mbaya sana halafu anasema hakusema hivyo kama CDM walivyotafsiri bali alishangaa tuu na kudai labda hawa wanafadhiliwa lakini hakusema ubalozi wowote unawafadhili..

Masikini Sophia mdomo umekuponza maana jamaa wanataka ukalale sero hata dakika kumi tuu uje utuhadithie shemeji zako wa bagamoyo!!

Nawasilisha

CDM wao ndo wazushi sana wamesema mengi ya kubuni na kutunga majukwaani?
nendeni mahakamani nani kakwambia mahakama ni chadema tu ndo wengene wanapaogopa! uhakika upo cdm mmepewa hela kuivuruga nchi,sijui ikivurugika nyinyi mtakaa wapi?
 
FMes alimchambua huyu mama hadi wengine karibu tushambuliwe pia kwa kumtetea.

Ukisoma yale yaliyoandikwa wakati ule, nafikiri inatosha.

Wengine mtakuwa mnarudia tu maana ukisikia kuchambuliwa, basi kweli aliSAMBULIWA, Sambuuu!!!!

Mhurumieni mama wa watu. Hata ukubwa wake umetokana na ki- G-String mkononi, kafanikiwa ati.

Walau si Changudoa mtaani au kwenda Kuuza Bata Dubai. Maisha ni UJANJA.
 
Yeye na Padre Slaa nani mlopokaji?
mtamwita majina yooooote mnayotaka,lakini atabaki kuwa Dr Slaa,hafif unatuabisha waislam,mwite mtu anavyostahili,mbona Jk humwiti luten,au makamba humwit mwl,au kwa sababu waislam wenzetu,AKILI ZA KUAZIMA CHANGANYA NA ZAKO,
 
Yeye na Padre Slaa nani mlopokaji?
mwite mtu anavyostahili,mbona Jk humwiti luten?makamba humwit mwl,au kwa sababu waislam wenze2?kwa kaul za ssimba,anadhalilisha uislam,serikali,familia yake,na yeye mwenyewe,HAFIFF,akili za kuazima changanya na zako
 
nendeni mahakamani kama iliwauma ili Bi Sofi akawagaragaze na kuwavua nguo huko.

Na wewe akili yako inawaza NGONO tu kama Sophia Simba!

Sasa amvue nguo Mnyika halafu amgaragaze chini ndiyo iwe je?

Kama nyinyi ndiyo MA-SPIN DOCTOR wa CCM basi CCM kazi wanayo!
 
Atamwita Mnyika ampe ii kitu ili yaishe, si mnajua anavyo itumia kupata madaraka.
 
Back
Top Bottom