Soon tutafanya biashara ya network marketing bila ya kupenda

mbwewe

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,492
2,000
Kumekuwa na mijadala mingi humu kuhusu biashara ya network marketing huku wachache wakiikubali wengi wanaona ni kama utapeli wa mchana kweupe.

Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni kutokana na anavyoona lakini leo nataka nii-share na wadau humu the future of this business kutokana na experience yangu, kutokana na makampuni mengi yanayouza bidhaa na huduma kutumia hela nyingi kufanya matangazo huku mrejesho wa faida unakuwa mdogo au wakati mwingine ni hasara ndipo hapo option ya network marketing inapochukua nafasi.

Kwani makampuni mengi wamegundua kwa kutumia biashara ya mtandao itasaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza gharama za uendeshaji na kupata faida kubwa.

Naandika haya kutokana na baadhi ya makampuni hapa Tanzania kuanza kuendesha kampuni zao kwa system ya network marketing!

Kwa wale ambao hawana taarifa kampuni ya simu ya Zantel imeanzisha huu mfumo hivi karibuni na nategemea very soon tigo,voda na airtel nao watafuata na kwa taarifa isiyo rasmi nilizozipata Bakhresa nao wapo kwenye mchakato wa kuanzisha biashara iliyo katika mfumo wa network marketing, so guys stay humble for adventures
.
 
komeka

JF-Expert Member
May 1, 2013
1,073
1,225
mi nilijua hili suala ni la muda tu, watu hawaelwi hii system ni km ilivyokuwa ikianza huko ughaibuni situation was the same lkn mwisho wa cku walielewa
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
20,407
2,000
Kwa hiyo hao Zantel wanakutoza laki saba na nusu? Vile kwa Zantel huwajibiki kutafuta wateja wengine..! We ukijiunga ni kutumia tu huduma zao..!
 
ngusekela

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
404
250
Zantel wametoa line za staarajabika kwa wafanyakazi bure kama line 60 halafu wawasambazie marafiki zao kwa kuwasajili line hizo na kila mfanyakazi akiuza line nyingi anapewa zawadi
 
Msuya Jr.

JF-Expert Member
May 31, 2013
1,698
2,000
Kwa Zantel lazima wafanye hivo coz sokoni hawafanyi vizuri, na huduma zao ni very poor especially vijijini na haswa kwenye Internet
 
Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,299
2,000
Zantel iko sokoni, Voda na Tigo wanaigombania, na kwa ulivyoielezea idea yao ni kama commission zaidi ambayo ni kawaida kwa kazi za sales.
Sidhani kama biashara ambazo ziko serious zinaweza kufuata system ya mlm aka pyramid schemes iko kiulaghai zaidi itawachafulia jina.
 
MZAWA JF

JF-Expert Member
Apr 4, 2014
2,482
2,000
siyo zantel tu. hata makampuni mengine hasa voda wanaifanya muda mrefu. wanaencourage sana vifurushi vya voda to voda kiasi kwamba mtu analazimika kumshawishi ndugu anunue line.
 
wabongo cjui ndyo kujitoa ufaham au ndyo kujifanya wajuaji wakati hatujui!... mkuu kuna mlm ambazo ni illegal na zipo ambazo ni halali ambazo zimesajiliwa na serikali na zinalipa kodi km kawaida
 
mbwewe

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,492
2,000
Kwa hiyo hao Zantel wanakutoza laki saba na nusu? Vile kwa Zantel huwajibiki kutafuta wateja wengine..! We ukijiunga ni kutumia tu huduma zao..!

wanakutoza elfu 75000 vile vile unawajibika kutafuta wateja wengine ili mwisho wa cku wakulipe commission
 
mbwewe

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,492
2,000
siyo zantel tu. hata makampuni mengine hasa voda wanaifanya muda mrefu. wanaencourage sana vifurushi vya voda to voda kiasi kwamba mtu analazimika kumshawishi ndugu anunue line.
mkuu hii iko tofauti mfumo wake ni network warketing pure .......unalipa ada ambayo ni 75000 then unaanza ku recruit other members baada ya hpo wale wote ambao wako chini utakuwa unapata comisssion
 
Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
May 1, 2007
6,919
2,000
Multi-level marketing (MLM) is a marketing strategy in which the sales force is compensated not only for sales they generate, but also for the sales of the other salespeople that they recruit. This recruited sales force is referred to as the participant's "downline", and can provide multiple levels of compensation.[1] Other terms used for MLM include pyramid selling,[2][3][4][5][6] network marketing,[5][7][8] and referral marketing.[9] According to the US FTC, some companies that use multi-level marketing exploit members of their networks and constitute illegal pyramid schemes.[10][11][12]Most commonly, the salespeople are expected to sell products directly to consumers by means of relationship referrals and word of mouth marketing.[1] Some people use direct selling as a synonym for MLM, although MLM is only one type of direct selling.[1][7][13]Companies that use MLM models for compensation have been a frequent subject of criticism and lawsuits. Criticism has focused on their similarity to illegal pyramid schemes, price fixing of products, high initial entry costs (for marketing kit and first products), emphasis on recruitment of others over actual sales, encouraging if not requiring members to purchase and use the company's products, exploitation of personal relationships as both sales and recruiting targets, complex and exaggerated compensation schemes, the company and/or leading distributors making major money off training events and materials, and cult-like techniques which some groups use to enhance their members' enthusiasm and devotion.[9][14]

SOURCE: Multi-level marketing - Wikipedia, the free encyclopedia

MY TAKE: KUWENI MAKINI NA HIZI MULTI-LEVEL MARKETING, NI WIZI MKUBWA WA KISAYANSI.
NI KWELI KWAMBA WATAKAOINGIA MWANZONI WATAPATA PESA NYINGI, LAKINI JE PESA NYINGI ZAFAA NINI KAMA UPATIKANAJI WAKE HATIMAYE UTAWAUMIZA BINADAMU WENZIO?

MOJA YA CHARACTERISTICS ZA HIZI MULTI LEVEL MARKETING NI PALE UNAPOTAKIWA KUTOA FEE ILI KUINGIA KATIKA NETWORK. HALAFU UNAPOTAFUTA WATU WAKAWA CHINI YA NETWORK YAKO NAWE UNAKUWA UNAPATA COMMISSION. KINACHOFANYIKA HAPA NI KWAMBA WEWE UNAKUWA UNALIPWA KUTOKANA NA PORTION YA KIINGILIO CHA WATU BADALA YA KULIPWA KUTOKANA NA MAPATO YATOKANAYO NA UUZAJI WA GOODS AND SERVICES.

KWA HIYO HII NI DECI YA KIANA, ILIYOFICHWA KATIKA MGONGO WA KIBIASHARA.
PYRAMID SCHEMES ZA AINA HII BAADA YA KUTANUKA SANA HATIMAYE HUFIKIA HATUA AMBAYO HAKUNA WATU WAPYA WA KUWARECRUIT KATIKA MTANDAO NA MATOKEO YAKE INACOLLAPSE.

WANAOTHIRIKA ZAIDI NI WALE WALIOINGIA MWISHONI, WA MWANZONI WANAKUWA TAYARI WAMENEEMEKA!.
 
nickjb

New Member
Jan 6, 2015
3
0
I am familiar with MLM and am interested to receive details of new MLM opprtunities in Tanzania.

Angelo007

JF-Expert Member
Dec 1, 2013
1,794
2,000
I am familiar with MLM and am interested to receive details of new MLM opprtunities in Tanzania.
Just PM me will show u new opportunities even giving you few people who will join under u.Im doin MLM for a long time now with two american companies.
 
Deo Corleone

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
15,602
2,000
So nikimnunulia mchepuko kifurushi basi nimefanya hiyo pyramid ?

Eti hadi bakhersa anataka kuingia huko!!
 
ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
13,944
2,000
hayo mambo magumu inabidi kabla hujaanza kujiingiza katika biashara hzi uwe makini maana unaweza kuingizwa choo cha ndani bure na baadaye ukajuta usijue la kufanya
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom