Soon nitaanza kuitwa majina mazuri na warembo

Hahahaha haya bana namba inaishia 0000
Sawa ni kweli.ila si wewe kumbe niliekudhani..daah[/QUOTE]Nilitaka nishangae maana sidhani hata kama kuna siku moja me nawewe tuliongelea ngono zaidi yastory nakujuana kwasana
 
Kwenye hizo 600mil/450mil kuna 40% za Tiiaraei,
Ukipata mgawo wako njoo tufungue studio ya kisasa ya kuingiza nyimbo na video kali single na season kwenye simu na flashi,
 
Nilikuwa nandoto yakuchanga pesa mdogo mdogo mpaka nifikie kumiliki pesa nyinginyingi kuanzia hata milioni mia. Katika kipindi hiki chamiaka mitatu toka nianze kupambana tayari ishafikisha milioni 5.

Mzee wangu (marehemu) aliacha nyumba katikati yamoja yamajiji makubwa nchini nakwamzee tupo watatu tu. Katika hiyo nyumba kuna ndugu yetu ndio anaishi nawapangaji kwahiyo vihela vidogovidogo havitupigi chenga. Sasa kubwa kuliko kuna madoni kibao wanaitolea macho nakuna mmoja katangaza ofa yamilioni 450 hata sasahivi tukiamua anatucash. Ila kuna mwingine kasema tuvute subira anamkopo bank ila kasema mwaka huu mwishoni anamaliza mkopo wake kwahiyo akichukua mkopo mwingine atatucash milioni 600.

Hapa napambana ila siku yoyote mda wowote nakuwa mcharo maana milioni mia 200 lazima nitajenga nyumba mbili zamilioni 50 kila nyumba moja na milioni mia inayobakia ndio nitafanyia mishe zangu. Hata tukiuza milioni 450 bado sio mbaya.

Warembo kaeni mbali namimi maana huu mtaji wangu2 wamilion 5 mnautolea macho mnahisi labda namilioni 20 je Sasa nikipata hizo milioni 200 sindio mtanichuna nangozi kabisa!!! 'NIMEJIPANGA'

Tafuta za kwako polepole ila ukaze mwendo hizo za mteremko achana nazo ila zikija fresh
 
Kwenye hizo 600mil/450mil kuna 40% za Tiiaraei,
Ukipata mgawo wako njoo tufungue studio ya kisasa ya kuingiza nyimbo na video kali single na season kwenye simu na flashi,
Hahaha mkuu mbona huo mradi hauhitaji hela nyingi
 
Kwenye hizo 600mil/450mil kuna 40% za Tiiaraei,
Ukipata mgawo wako njoo tufungue studio ya kisasa ya kuingiza nyimbo na video kali single na season kwenye simu na flashi,
Duh kama TRA wanahitaji asilimia 40 nibora tusiuze mkuu
 
Daa hakika,yaan kila ck wadau wanakuja na mbinu mpya,kuna mwingne uyo anakwambia yy ana mkuyenge mkubwa kila demu anamgwaya
Me hata siwazii mademu wahumu maana asilimia kubwa sio hadhi yangu.
 
Ongeza Sauti tukusikie

Back
Top Bottom