Soon nitaanza kuitwa majina mazuri na warembo

Nilikuwa nandoto yakuchanga pesa mdogo mdogo mpaka nifikie kumiliki pesa nyinginyingi kuanzia hata milioni mia. Katika kipindi hiki chamiaka mitatu toka nianze kupambana tayari ishafikisha milioni 5.

Mzee wangu (marehemu) aliacha nyumba katikati yamoja yamajiji makubwa nchini nakwamzee tupo watatu tu. Katika hiyo nyumba kuna ndugu yetu ndio anaishi nawapangaji kwahiyo vihela vidogovidogo havitupigi chenga. Sasa kubwa kuliko kuna madoni kibao wanaitolea macho nakuna mmoja katangaza ofa yamilioni 450 hata sasahivi tukiamua anatucash. Ila kuna mwingine kasema tuvute subira anamkopo bank ila kasema mwaka huu mwishoni anamaliza mkopo wake kwahiyo akichukua mkopo mwingine atatucash milioni 600.

Hapa napambana ila siku yoyote mda wowote nakuwa mcharo maana milioni mia 200 lazima nitajenga nyumba mbili zamilioni 50 kila nyumba moja na milioni mia inayobakia ndio nitafanyia mishe zangu. Hata tukiuza milioni 450 bado sio mbaya.

Warembo kaeni mbali namimi maana huu mtaji wangu2 wamilion 5 mnautolea macho mnahisi labda namilioni 20 je Sasa nikipata hizo milioni 200 sindio mtanichuna nangozi kabisa!!! 'NIMEJIPANGA'
hawatakuchuna ngozi tu mkuu, wanakwangua mifupa kuhakikisha hakuna kamnofu lambskin!!!
 
Mmh jaman yaan sikumbuk kuusu kumblock mtu..ok pole kama ilikua ivo

QUOTE="flulanga, post: 32553736, member: 373395"]
Aha nikweli niwewe ndio ulibuloko ila mimi sio huyo unayemuongelea. Kama wanajf wapo tayari niweke wazi tuliyokuwa tunaongea fresh. Semeni wote WOYOOOO
[/QUOTE]
 
Mmh jaman yaan sikumbuk kuusu kumblock mtu..ok pole kama ilikua ivo

QUOTE="flulanga, post: 32553736, member: 373395"]
Aha nikweli niwewe ndio ulibuloko ila mimi sio huyo unayemuongelea. Kama wanajf wapo tayari niweke wazi tuliyokuwa tunaongea fresh. Semeni wote WOYOOOO
[/QUOTE]Hahahaha haya bana namba inaishia 0000
 
Back
Top Bottom