Unachoungumza ni sawa na kusema kwanini wale askari wa Hamas siku za kubadilishana mateka kwanini huwa wanaficha sura zao, we ukiwaangalia wale unaona ni waoga eti?
Kutana nao kwenye vita... yeye kujilipua haoni shida..
Hao jamaa wana roho ngumu hujapata kuona.
Usije kujidanganya kijana.. watu wapo serious sasa.. ukiona mwanaume anazungumza hadi analia ujue kuna jambo..