Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
mi nasema hivi Messi na Ronaldo si wanajishaua kuwa ni wafungaji wazuri??....
sasa Ramadhan hiyo hapo inakuja...ntawaona.
Wafungaji wa ukweli ni akina Samir Nasri, Yaya Toure, Demba Cisse, Demba Ba, Kolo Toure, Mzee Zidane, NIcolas Anelka, Ben Alfa, na wengine ambao hawaachi hata chungu kimoja...
Tena inapobidi na 6 wanafunga pia...

Nasikia harufu ya Udini na Ubongo wenye kutembelea Magongo.................
Sasa na wewe usiyeweza kabisa to read between the lines hata huo ubongo unao?
Au kichwa kimejaa uji wa dengu ndio maana kila kitu unakiona kwa macho ya udini?
mkuu hebu fafanua vizuri mi binafsi cjaelewa ume maanisha nn. (chungu kimoja) hapo ndio kabisa umeniacha mkuu
Maumivu ya kichwa huanza poole pole....
Nasikia harufu ya Udini na Ubongo wenye kutembelea Magongo.................
Dah!! Matola ndugu yangu nahitaji kwenda Likizo hahahahahahaha dah!! Kwamba Ronaldo na Messi si wafungaji wa Ramadhani ila wafungaji wa kweli wa Ramadhani ni Samir Nasri, Yaya Toure, Demba Cisse, Demba Ba, Kolo Toure, Mzee Zidane, NIcolas Anelka, Ben Alfa...Jamaa ametisha sanaa...Nilishaanza kutoka povu bhanaaaaJF ni home of Great Thinkers, kama mmeshindwa kuilewa thread basi mna matatizo vichwani.
Hii thread ni Sports bar Jokes.
Umepanic Bro..?:bump2:
Duh kichaa si lazima aokote makopo.
Bwa ha ha ha ha haa!Chombaa,wapo uliowachota humu ila mie umenikosa.kiswahili lugha ngumu sanaa!
Siku moja moja kukurupuka siyo mbaya.....huwa inaongeza uwezo wa kufikiri....ila dah Noma sana...anyways siyo ishuPunguza kukurupuka bwa mdogo and I ain't yo Bro!
Tuondolee Udini mbwa koko we